Tembelea Tuvuti English eng

Sajili

Bonyeza HAPA ilikujisajili na kufungua akaunti yako ya SportPesa kwa dakika chache.

Sajili hapa

Weka Pesa

Fika kwenye orodha ya pesa kwenye simu yako ya mkononi ili kuhamisha fedha kwa kutumia nambari ya paybill ya Sportpesa uliotumiwa wakati wa usajili.

Cheza

Unayo nafasi ya kutabiri matokeo kwa kuchagua chaguzi za betting kutoka kwa masoko mbalimbali ya kabla ya mechi na masoko ya betting ya kuishi inapatikana kwenye michezo tofauti na kuweka bet yako.

Cheza sasa

Karibu SportPesa, inayoongoza kwa juu nchini Kenya kwa Online Sportsbook

Karibu SportPesa, jukwaa nambari moja Africa kwa uwekezaji wa bet. SportPesa inakuwezesha kutabiri na kutuma bets za mechi unazopenda. Tunatoa michezo ya humu nchini na ya kimataifa kwa uwekezaji.

Waweza kuweka bet zako kwa kutuma ujumbe mfupi kupitia simu kwa nambari 29050, au Android App ya Sportpesa, au kwa tovuti ke.sportpesa.com au kupitia USSD kwa kubonyeza *790#. Tabiri kutoka popote ulipo kabla mechi kuanza ama tabiri kwenye mechi zinazoendelea. Tunajulikana kote kama makao bora kwa kutoa odds za juu zaidi kwa Soka, Mpira wa kikapu, Raga, Tenisi, Ndondi, Kriketi, Mpira wa mikono, Magongo kwa barafu, Mixed Martial Arts, Mbio za magari na Voliboli.

Cheza na KSH 100 pekee na upate nafasi ya kushinda angalau KSH 10,000,000 kwa Jackpot na juu ya KSH 100,000,000 kwa Mega Jackpot.

SportPesa ni sekta ya kimataifa inayoongoza teknolojia na biashara ya burudani ambayo iliingia kwenye soko mwaka 2014 kutoa matukio, msisimko na njia ya malipo kwa mashabiki wa michezo ili kufurahia michezo waipendayo. Tunatoa njia nyingi ya uchezaji ambazo ni rahisi na za gharama nafuu za kutumia, kuruhusu teknolojia kutumika na wapenzi wa michezo katika masoko na makundi mengi. Bidhaa zetu hutoa aina ya michezo ya kuchagua na malipo ya papo na njia rahisi ya kucheza na kituo cha huduma cha urahisi cha saa zote za saa kwa saa.

Mifumo yetu ya teknolojia ya habari ya kimaarifa ulimwenguni inahakikisha usalama, thabiti na upesi wa muamala. Wachezaji waweza cheza kutoka popote walipo ulimwenguni na pia kupokea hela zao wakati mechi zinapo kamilika.

Mara tu mechi inapokamilika, mchezaji anapata ushindi wake mara moja na inawekwa kwenye akaunti yake ya SportPesa.

Pia, tunatoa Midweek Jackpot na Mega Jackpot kubwa zaidi, ambapo wachezaji wako na nafasi ya kutabiri mechi 13 na 17 mtawalia kwa ada ndogo na bonsai za kuvutia kwa wale wanao karibia kushinda mechi zote za jackpots.